Muhimu Jenga uchumi. Law school ni fifty fifty kuchomoka au kufeli. Nauzuri ipogo tuu Kila mwaka.
huwezi kuwa na muda wakufanya issue zako vilivyo. Coz ratiba ya pale ni tight morning to evening unasaini by finger print unapoingia na unapotoka. So kwangu Mimi muhimu kujenga uchumi kwanza.
MWISHO: TUSHARE HIO ISSUE YAKUFANYA KAZI ONLINE MKUU IF POSSIBLE