Hahahaha huna akili! Umemuweza aiseeee! DahKwa nilichoambiwa na mke wangu; Nimechanganyikiwa naomba ushauri
Mke wangu ameniambia kuwa kuanzia leo nikichepuka nitakachokipata nisimlaumu sasa hapa sielewi nifanyaje ukizingatia kuwa nini mchepuko wangu ambaye kwakweli kumuacha ni ngumu. Je ananitisha au ni kweli naombeni uzoefu wenu katika hiliwww.jamiiforums.com
Alisha kuelezea. Atakuwa kaenda kwa mchizi mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
π€£ π€£ π€£ π€£ π π π πKwa nilichoambiwa na mke wangu; Nimechanganyikiwa naomba ushauri
Mke wangu ameniambia kuwa kuanzia leo nikichepuka nitakachokipata nisimlaumu sasa hapa sielewi nifanyaje ukizingatia kuwa nini mchepuko wangu ambaye kwakweli kumuacha ni ngumu. Je ananitisha au ni kweli naombeni uzoefu wenu katika hiliwww.jamiiforums.com
Alisha kuelezea. Atakuwa kaenda kwa mchizi mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo mabaharia wa kula kimasihara wamejipatia chakula ..