Titend? Wewe unayo hata baiskeli kweli?Habari wana JF.
Naomba msaada wa haraka,
Nahitaji kuleta gari lenye vioo tinted kutoka usawa wa milango na body yote ya gari ni vioo na ni titend.
Sasa, naomba kuelewa mrejesho wa hapo Dar kuhusu kauli kuwa magari yote yenye vioo vya tinted yatakamatwa ili kuzuia maovu hali ikoje!
Maana , gari hili lote ni tinted na limetengenezwa kwa vioo kwa eneo kubwa.
Asante sana, kwa majibu maana hapa naelekea kuipakia huku badarini ili kuileta hapo Dar.