Asante,na namna ya kuomba kwa kupitia NACTE unafanyaje?Na je ni vyuo vingapi unaruhusiwa kuviomba?
Nenda pale Rabinsia tegeta ukapime kwanza kujua ugonjwa uko hatua gani

Ok naomba uniwie radhi sanaMkuu mshana usinifanyie hivi kaka,namhangaikia dogo plz.Ulivonijibu sijapenda kwakweli,ila Mungu akusaidie.
