Hata mimi hilo limenisikitisha sana.Mkuu pole sana, huyo sio riziki kwako kajikinga mvua inawezekana hata mtoto sio wako, toka umemuoa alikuja na namba ya simu
Kwa nini ulioa mke wa mtu? Ndio shida ya kuoa mwanamke aliyeanzishwa mapenzi na wengine, kwako kaja kwa sababu tu yule anayempa akitakacho hakuwa tayari kumuoa. Kifupi huyo si wako, wewe ni mhifadhi tuNsaidien mkewangu ananitesa kimawazo
Kifupi iko hivi kipindi namuoa sku yapili yupo nyumbani nliokota kwenye kimkoba mamba yacm skutaka kumuuliza niliikopi ile mamba nkawanayo tumekaa miaka mi4tunamtoto1
Kilichoniumiza nimekuja kugundua anamawasliano na ile namba maana nmekua mtulivu skunyngi nkaona baadh ya sms kbaya zaidi nliona sms ya muamala aliotuma hela wife kwa hiyo namba nmeipigia kwa namba ngeni nmwanaume anantesa kwakwel naumia nashindwa ata kusema
Mawazo yenu ndo msaada
Imeandikwa
Exalioth
App ya jamiiforms