Habari, natafuta tution centre za dar es salaan ili kujiandaa na kidato cha tano, masomo ni PCB. iwe na walimu wazuri.
Sawa mkuu, ila unakaribishwa kuja kufanya mazoezi ya practical, kutoka chanika kuja yombo unapanda gari mbili,Tangazo lenu nililiona but mko mbali sana mimi niko chanika
Ebo! Kwa hiyo unataka upate hiyo maeneo ya Chanika na Pugu au? kama umeamua kuwekeza kwenye elimu wee wekeza tu.Tangazo lenu nililiona but mko mbali sana mimi niko chanika
ok, but ttzo sio nauli coz mm hata nivae nguo gn tena bila kitambulisho badi nalipa nauli ya mwanafunzi tuEbo! Kwa hiyo unataka upate hiyo maeneo ya Chanika na Pugu au? kama umeamua kuwekeza kwenye elimu wee wekeza tu.
Vaa uniform zako za shule ili uwe unalipa nauli ya mwanafunzi
sawa, Asante sanaSawa mkuu, ila unakaribishwa kuja kufanya mazoezi ya practical, kutoka chanika kuja yombo unapanda gari mbili,
Gari ya kwanza unapanda kutoka chanika hadi gongo la mboto, ukishuka hapo G/mboto panda gari za kwenda temeke, alafu utashukia yombo kituo cha daladala cha chama!!
Kua chanika mkuu sio tatizo, wapo wanafunzi wanatoka vikindu na mkuranga wanasoma practical hapa! Karibu sana mkuu!!
Kama ni hivyo mkuu safi, karibia ni magari mawili tu kutoka huko chanika hadi hapa yombo dovya, kwenda na kurudi mia nane tu mkuuok, but ttzo sio nauli coz mm hata nivae nguo gn tena bila kitambulisho badi nalipa nauli ya mwanafunzi tu
Kwa physics mtafute Mr.Mtiga yupo mwenge pale karibu na NAKIETE PHARMACY
af kwa chemistry mtafute ANDERSON naye yupo mwenge palepale



uyo jamaa nakumbuka alinichambulia mechanics kama karanga........dah way back@ mr mtiga