Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,698
- 1,783
Hadi nimeogopa aiseeBro fanya chapu kapime kansa.
Ahsante mkuu!!Tumia dawa ya meno ya sensodyne maumivu yakizidi muone daktari
Hadi nimeogopa aisee
Ahsante mkuu!!Backbone ni serious case, ukipata muda fanya vipimo, vinaweza visiwe na mawasiliano lakini ni muhimu kupima.
Mkuu... ila sio backbone wakati wengine.. mara nyingi pia ni maumivu ya mifupa ya mgongo... nilifanya sana vipimo.. na wakasema hawaoni tatizoBackbone ni serious case, ukipata muda fanya vipimo, vinaweza visiwe na mawasiliano lakini ni muhimu kupima.
Mkuu... ila sio backbone wakati wengine.. mara nyingi pia ni maumivu ya mifupa ya mgongo... nilifanya sana vipimo.. na wakasema hawaoni tatizo
Ahsante sana chief...Okay, kama siyo backbone sawa.
Lakini si vibaya ukafanya hicho kipimo, kama ukikuta uko negative, tafuta pia wataalamu wa lishe, unaweza kukuta ni ukosefu wa madini fulani mwilini.
Huko Hospital hawajawai kukupa dawa yoyote hata Minerals and Vita???Ahsante sana chief...
Mkuu usitishwe na mtu,Hadi nimeogopa aisee
Hapana mkuu.. walikuwa wananipa vidonge ambavyo havikuwahi kunisaidia.Huko Hospital hawajawai kukupa dawa yoyote hata Minerals and Vita???