Msaada wa haraka unahitajika

ASSISANT

Member
Joined
May 6, 2015
Posts
37
Reaction score
17
Jamani nina sheeedah!!

Nimenunua laptop, mpya haijamaliza hata mwezi. Nimeanza kuitumia baada ya kuweka program muhimu zote na antivirus Karspersky.

sasa tatizo baada ya wiki tangu nianze kununua imeanza kuwa slow ghafla, nimekuwa nikiscan na pia kuupdate antivirus bila shida yoyote. Pia nimekumbana na tatizo lingine, nikifungua internet, nikiclick link moja, kwa mfano nimeclick JF inafunguka link mbili, moja ya JF na nyingine yenye matangazo ya biashara mbali mbali. Nataka niachane na hizi zinazoibuka tuu.

Pia, nikishafungua internet, kuna allerts nyingi sana zinakuja, zingine zinaniambia nimeshinda zawadi, zingine zinaniambia window error, na mambo mangine. zingine nime fanya snipping nimeziattach kama inavyoonyesha kwenye picha hapa chini, nisaidieni nifanyeje kutatua hili tatizo?

Kama kuna mtu mzoefu anielekeze ili laptop yangu iendelee kuwa faster. Kwenye hiyo allert ya pc repair kwa chini inaniambia download, nikidownload, inaniambia ninunue online sasa hapo

 
zinakuja kwenye browser tu? itoe hio browser then eka nyengine mpya halafu install adblock inasaidia.

kuhusu pc kuwa slow bonyeza ctrl + alt + delete then angalia kwenye task manager nani anaekula resource nyingi
 
zinakuja kwenye browser tu? itoe hio browser then eka nyengine mpya halafu install adblock inasaidia.

kuhusu pc kuwa slow bonyeza ctrl + alt + delete then angalia kwenye task manager nani anaekula resource nyingi


Ok sasa hapo kwenye browser, zilizokuwa installed ni Mozila firefox, Opera na Chrome. Mimi huwa natumia sana Mozila na opera.
 
Ok sasa hapo kwenye browser, zilizokuwa installed ni Mozila firefox, Opera na Chrome. Mimi huwa natumia sana Mozila na opera.

kaka mimi sijui browser gani inayotoa hizo link za matangazo, unaejua ni wewe so itoe hio yenye matatizo isio na matatizo iache
 
Kwanza unstall program zote unazohisi hazina kazi. yani zile free app.. na zile zenye kufanana na antvirus.. hakikisha disk c isijae yani isiweke red.. tumia mozira ambayo ipo update hizo adds zinatokana na wewe kudownload free apps nyingi..
 

ngoja tuliosoma hkl na hgk tukae pembeni kidogo ktk hili
 
Antivirus gani hiyo inayoacha milango wazi namna hiyo?
 
Hata Mimi Nilikua Na Tatizo Kama Hilo Kwenye PC Yangu.Kila Nilipokua Nikisurf Net Kwa Kutumia Mozilla.
Nilichokifanya Niliunstall Mozilla Na Nikainstall Opera.Na Sasahivi Tatizo Limekwisha Natumia Net Kama Kawaida Bila Matatizo Yeyote.
 
Kuna malware mmoja huyo nimemsahau jina, huwa akiingia kwenye computer analeta Ads(matangazo) kila kona ya browser yoyote. Yaani matangazo karibu 10 kwa wakati mmoja.

Sasa kukusaidia naomba uweke screenshot ya programs and features ( pale kwenye UnInstall programs) then utapata ushauri
 
Hiyo ni simple fanya ivi, nenda kwenye mozila then nenda kwenye add ons then kwenye plugins hayo upande wa kulia utaona hayo ma site yanayofunguka so hapo kuna option ya disable una disable hapo kila kitu kitakua sawa au solution ya pili ni ku uninstall hiyo browser na kuondoa history zote za nyuma then install it again
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…