Msaada Wa Haraka Unahitajika

afkombo

Member
Feb 9, 2008
93
11
Habari Wandugu!!
Mimi natumia Windows Vista Home Basic!!Nina tatizo la Internet Exploler!!
Yaani kuna baadhi ya Websites nikijaribu kufungua tu huwa internet inaji-restart halafu inaniambia ikipata jibu la tatizo itaniambia lakini siku zinapita naona kimyaaaaa,kwa mfano Hi5,na kuna baaadhi ya websites za kichina!!na pia link hii ya Microsoft http://www.microsoft.com/beta/downloads/Default.aspx nikijaribu ku-click katika DirectX(Microsoft Technologies) pia inakataa na ina-restart.
Kuna kipindi kama miezi kadhaa niliona kuna Mdau mmoja alitoa msaada juu ya tatizo kama hili(alizungumzia kuhusu mambo ya Add-ons) lakini sikufuatilia sana coz sikuwa na tatizo!!Sasa naomba masaada wadau kwa yeyote mwenye ujuzi naomba animegulie kidogo maana wanafunzi wenzangu wanatumia hiyo hiyo Home Basic lakini hawana tatizo hili nami pia mwanzoni nilitumia hapakuwa na tatizo lakini baada ya kuformat mashine yangu ndipo tatizo likaanza!!!
Pili ni kuhusu Gmail,nina e-mail ya Gmail,lakini nayo nikijaribu kusign in tu basi Internet Exploler ina ganda mpaka nisubiri kwa muda fulani.Sasa sijui tatizo ni nini!!
NB:Hili tatizo la Gmail lipo muda mrefu hata nikitumia Windows XP SP2
Sijajaribu katika mashine nyingine!!
Ntashukuru sana kama ntapata msaada huo!!
 
usikimbilie windo vista ikikukatalia huna nauli ya kuja marekani ili microsoft inc. sasa ukiona kitu kimetoka subiri wajinga wakimbilie kama i phone sasa hivi nni dola 200 na is more advanced ilipotaka ilikuwa dola 500 bili kwa mwezi dola 1200 kwa mwaka billi dola 12000 hii ni bili ya simu si ungejenga nyumba nyumbani. hichi sio kizazi cha kujisifia bar un i phone au ofisini una laptop those are working tools not priding tools .wake up

Duh!!!Nashukuru sana ndugu yangu kwa msaada wako!!!Unajua niliamua kutumia hii windows baada ya kuona kwamba imetoka mwaka mmoja uliopita na wengi wanatumia na hakuna usumbufu wowote walioupata lakini kumbe bado nilitakiwa kusubiri!!Halafu nilikuwa naomba masaada nisaidiwe kumbe imeonekana nataka kujisifia!!Nashukuru kwa mara ya pili kwa msaada wako!!
 
AfKombo,

mimi pia nilipata tatizo hilo baada ya kununua laptop. Ilinibidi niwapigie simu wenye kutengeneza computer na walilifanyia kazi huko juu kwa juu na tatizo likaisha hadi leo sijaiona. Kweli ni tatizo la hizo add-ons.
Sasa sielewi uko TZ au US. Ila ukiwa US namba ni toll free kwa hiyo it takes at leat 30mins ukiwa kwenye line na wakikufanyia hiyo kazi. Sasa ukiwa TZ kuna namba yao ila rafiki uwe tayari kulipa hiyo bill.
Otherwise kama mmoja amesema ni malware and it only needs downloading some file, then think about it.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom