yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,553
- 3,515
Sawa mkuuAmnyonyeshe tu hata kama maziwa hayatoki!, baada ya sku kadhaaa maziwa yatatoka!,
Mpe uji wenye pilipili manga pia aendelee kumpa chuchu mtoto,yatatoka tu.Wa kwangu yalianza kutoka baada ya wiki mbiliNaomba niende moja kwa moja kwenye tatizo.
Ni kwamba mke wangu kajifungua ni siku ya tatu sasa hatoi maziwa hata tone. Yamegoma kabisa kutoka.
Kwa sasa mtoto anapewa maziwa ya Lactogen 1. Nina wasi wasi kama haya maziwa yataweza kuimarisha afya ya mtoto kama ambavyo maziwa ya mama yangefanya.
Hospital tumeenda lakini hatujapata msaada zaidi.
Naombeni ushauri, nifanyeje? Je niendelee kumpa lactogen?
Usipanic brother mwambie aendelee kumpa ziwa mtoto aendelee aendelee aendelee kumpa ziwa mtoto mala kwa malaNaomba niende moja kwa moja kwenye tatizo.
Ni kwamba mke wangu kajifungua ni siku ya tatu sasa hatoi maziwa hata tone. Yamegoma kabisa kutoka.
Kwa sasa mtoto anapewa maziwa ya Lactogen 1. Nina wasi wasi kama haya maziwa yataweza kuimarisha afya ya mtoto kama ambavyo maziwa ya mama yangefanya.
Hospital tumeenda lakini hatujapata msaada zaidi.
Naombeni ushauri, nifanyeje? Je niendelee kumpa lactogen?
Asante mkuu. Ngoja nifanye hivyoMpe uji wenye pilipili manga pia aendelee kumpa chuchu mtoto,yatatoka tu.Wa kwangu yalianza kutoka baada ya wiki mbili
Asante kwa ushauri. Nitafanya hivyo mkuuUsipanic brother mwambie aendelee kumpa ziwa mtoto aendelee aendelee aendelee kumpa ziwa mtoto mala kwa mala
Kuna connection kubwa ya hisia mwisho wa siku lazima yatatoka tu
Mama ale vyakula vya kumsaidia atengeneze maziwa huku akiendelea kumnyonyesha
Trust me bro ngoma itajibu ndani ya masaa 24
Sana
Tafuta unga wa mbegu za maboga achanganye na uji au chakula chochote, maziwa yatatoka kama bomba, kama upo instagram ingia account ya Active mamaz hutajutaNaomba niende moja kwa moja kwenye tatizo.