mwanya2
Member
- Jul 21, 2015
- 94
- 49
Huyu ni mtoto wa kiume ana miaka 6, tatizo aliro nalo nikuwa anatokwa na choo kikubwa bila kujitambua, mwanzoni tatizo hili lilipoanza alipelekwa hospitali akafanyiwa vipimo wakasema ana minyoo akapewa dawa. Tatzo likaisha kwa muda wa mirzi kadhaa liajirudia tena akapewa dawa kama za mwanzo. Lakini hilitatizo limekuwa linajirudia mara kwa mara na zile dawa hazioneshi mafanikio kwa sasa. Masaada wa dawa ya kutibu hili tatizo jamani hadi mtoto anakuwa hana raha wala amani.