moghasa
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 1,084
- 1,253
Wakuu nadhani ni zaidi ya mwaka nilipost hapa kuwa ninatatizo la kutokwa na mabonge ya damu kwenye mbegu za kiume.
Wengi wenu mlinishauri vizuri sana!!
Moja ya ushauri mkubwa ilikuwa nikapime prostate/ tezi dune.
Nimezunguka kila kona nafanyiwa utra-sound lakini hamna tatizo.
Wakadai ni UTI, kupewa dawa lakini tatizo la damu kwenye sperms linazi.
Wakuu, naogopa kuwachosha.
Naombeni mniambie ni HOSPITAL gani DAR itanipa msaada wa hili, hasa vipimo vikubwa na Huduma nzuri.
Nb. Mimi ni mtumishi namiliki card ya bima ( brown card) zile zenye mwonekani wa blue.
Msaada wenu waku coz by now testacles zinauma kamanimegongwa na kitu, maumivu makali ya mgOngo siwezi kukaa dk tano.