Jaribu kwenda advanced options halafu uingie system restore, then chagua restore point ya nyuma zaidi kabla ya tatizo naamini kama tatizo liko associated na virus basi litatokomea.
Au pc ikiwa inawaka jaribu kubonyeza f8 ikitoka kwenye Bios Menu ili uweze ingia safe mode mkuu.