Wana jf nimekwama laptop yangu inaandika lugha nisiyoijua(ni kama kirumi au kifaransa) katika option zote za internet browser yoyote inaonekana kuna sehemu imesetiwa na mtu naomba msaada niweze kuona kingereza kwenye hizi option za internet browser msaada plz!

duh! Hiyo itakuwa ngumu sana kukusaidia unless uwe umekariri steps za kuchange language kwenye internet browser. The best way to do is to uninstal the browser and install again.
Kama umenunua dukani ni simple. Rudisha then they will solve themselves. Lakini kama umenunua kwa mtu labda amemuibia huyo mwenye lugha yake sasa hapo itakua ngumu. Pole
change language. Hiyo ipo ktk settings so hata uki uninstall bila kufuta settings ukiweka tena ina load settings za zamani.
Hujasema OS wala aina ya browser, so msaada unaishia hapa kwa sasa