Habar Wana Jf Kwa Anaefahamu Tatizo Kama Hili Huwa Nin Hitimisho Lake Nina Simu Yangu Haisomi Mitando Inakuwa Emergency Call Muda Wote Hil Tatizo Halikuanza Muda Kwan Zaman Ilikuwa Haisumbui Ilikuwa Inasoma Kma Kawaida.Msaada Kwa Anaejua Tafadhali.
Itakuwa imepata demage kwenye mfumo wa antena circuit, aidha uliangusha au ilikuwa weak.
Pelekea fundi akapate mkate wa siku, si tatizo kubwa, BTW Pole