Msaada wa haraka sana kwenye ungo wa digital.

Msaada wa haraka sana kwenye ungo wa digital.

Sambuka

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
317
Reaction score
33
waungwana mnisaidie 3 frequenc za Trenet na CloudsTv, kunawatu wanaziona FTA nimejarjb
Nimepata tv Imman tu. na zile 5 zilizosajiliwa.

Pia nilkua napata KBC1 na WBSTV ktk 'KU' niloifunga chini ya C band yny loko chanel msaada wenu watu wa kukwea mabati ya watu
 
nimepita humo haina update za haraka, hata Tv Imaan hawajaiweka ila frq nilizipata hapa JF na naitazama hadi sasa
 
Zima king'amuzi ksha chomeka deki anza kuchek movie ki-dijitali sawa mkuu.
 
hapana, nimepitia seris kibao hata mkandala nimemzidi, nahitaji na habari, soka na matangazo ya biashara
 
waungwana mnisaidie 3 frequenc za Trenet na CloudsTv, kunawatu wanaziona FTA nimejarjb
Nimepata tv Imman tu. na zile 5 zilizosajiliwa.

Pia nilkua napata KBC1 na WBSTV ktk 'KU' niloifunga chini ya C band yny loko chanel msaada wenu watu wa kukwea mabati ya watu

package ya kenya imesha hama hapo. Kama ricva ya ina blindscan iscan utapata zingine kama zipo. Unaweza kuzipata tv za ke kupitia intelsat904 chini tu ya mwelekeo wa pale zilipo tv za tz ili mradi tu ricva yako iwe ya dvb-s2
 
Arselona karibu tena,nasikia package ya Kenya kwenye Intelsat 904 haina nguvu mpaka uwe na dish la fut 8.Ila kuna channel nyingi pale kutoka Zambia(ZNBC),Uganda(WBS,Bukedde,NTV).
 
Back
Top Bottom