Msaada wa haraka pleas

buno25

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
239
Reaction score
238
Nimeweka kwenye pc yangu windows 8.1 na kumaliza kila kitu mpaka kufungua microsoft a/c nika update drivers sa ikaitajika kurestat mashe kuwaka inadai ni sign in na microsoft a/c lakini nikiweka inanambia your pc is offline please sign in with the last passord used on this pc nikiweka ile ya local a/c msg ndo hiyo hiyo nimestack hapa hata sijui cha kufanya tena.
 


jaribu kufungua email yako kwenye pc nyengine labda watu wamei hack wame change password fungua kwa pc nyengine
utazame inafanya kazi?
 
Email yangu ipo poa kiongozi maana naweza kuitumia kwa pc nyingine fresh tu.
 
Jaribu kwanza kucheck internet connection yako hakikisha iko poa....pili ka tatizo ni password check option za kama umesahau password yako itakuuliza baadhi ya maswali kisha utatumiwa link ya kukulead kurecover password yako.......jaribu hii tuone wala usihofu!
 
Tatizo linaanza kwenye start up mashine.pasword iko pouwa nimeshaitumia kwenye mashine nyingine internet connection natumia wire less na yenyewe iko active hata sijui nifanyeje tena.duh
 
Internet yako ulitick iwe connected automatically? Kama haukutiki basi haiwezi kuunga mpaka ulogin kwanza. So kutatua tatizo unga PC na net kwa cable, kisha log in. Win8 inahitaji mtandao mara ya kwanza tu kuligin na live account baada ya hapo bila let itakubali. Pia kwa ajili ya usalama unaweza kutengeneza admin account nyingine yenye login ya kawaida for future use.
 
unaonekaga mida ya kubundi tu. upo poa lakini?


nipo ndugu yangu si unajua huu ni msimu wa mabundi hatuna ujanja tulikuwa tumejisahau sana lakini
tutajifunza kutokana na makosa mana kufanya kosa sio kosa kosa ni kurudia kosa pd.. na TG.. ni janga la jf
 
nimefanikiwa kiongozi aksante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…