Wakuu wenzangu kuna umuhimu gani wa ku padate bios? Microsoft waniambia ni update bios

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,336
33,159
Kuna umuhimu gani wa ku Update Bios ya Desktop Computer?kila Mara ninaletewa Alert ni Update Bos ninaogopa ku Update niafanye kitu gani mnacho nishauri? Je ni Ki Upadte Bios kutakuwa namadhara yoyote yale? ninawaombeni ushauri wenu jamani asanteni.

[h=2]Consider BIOS upgrade[/h]Microsoft is unable to determine the exact cause of this error. However, this problem was most likely caused by an error in your computer’s random access memory (RAM). RAM is the main internal storage area the computer uses to run programs and store data.

During the crash analysis, we noticed the basic input/output system (BIOS) version on this computer does not match the specifications for the central processing unit (CPU), also known as a processor, that is installed on your

computer. This can occur when a newer processor is installed on an older system board or older BIOS. Using a BIOS that does not support the installed processor can result in Windows system crashes. Contact your computer manufacturer or motherboard manufacturer for an updated version of BIOS for your computer's processor.

Maelezo ya Computer yangu hayo hapo chini je kuna umuhimu wa ku Update Bios?


OS Name Microsoft Windows 7 Ultimate

Version 6.1.7601 Service Pack 1 Build 7601

Other OS Description Not Available

OS Manufacturer Microsoft Corporation

System Name MziziMkavu-PC

System Manufacturer BIOSTAR Group

System Model P4M900-M7 FE

System Type X86-based PC

Processor Intel(R) Core(TM)2 Duo CPU E7600 @ 3.06GHz, 1150 Mhz, 2 Core(s), 2 Logical Processor(s)

BIOS Version/Date Phoenix Technologies, LTD 6.00 PG, 2/24/2009

SMBIOS Version 2.4

Windows Directory C:\Windows

System Directory C:\Windows\system32

Boot Device \Device\HarddiskVolume1

Locale United States

Hardware Abstraction Layer Version = "6.1.7601.17514"

User Name MziziMkavu-PC\MziziMkavu

Time Zone Turkey Daylight Time

Installed Physical Memory (RAM) 4.00 GB

Total Physical Memory 2.94 GB

Available Physical Memory 1.26 GB

Total Virtual Memory 5.87 GB

Available Virtual Memory 3.55 GB

Page File Space 2.94 GB

Page File C:\pagefile.sys


Motherboard yangu .Model yake hii hapa P4M900-M7 FE :Je kuna haja ya Ku Update?

b20090306.jpg


P4M900-M7 FE :: Motherboard :: BIOSTAR
 
Nafkiri unaweza kuupdate japo sijawahi kujaribu ila hakikisha tu unakuwa na network connection ya uhakika(reliable) kama ttcl ambayo haitasumbua wakati una update. pia unaweza tafuta namna ya ku turn off hiyo alert message
 
Nafkiri unaweza kuupdate japo sijawahi kujaribu ila hakikisha tu unakuwa na network connection ya uhakika(reliable) kama ttcl ambayo haitasumbua wakati una update. pia unaweza tafuta namna ya ku turn off hiyo alert message
mkuu Isaac Chikoma Je Niki Update Bios je wakati wa Ku -Restart isipofunguka Computer yangu yaani Windows 7 Ultimate ?Si itakuwa imekula kwangu?
 
Mkuu achana na hayo makitu usije juta bure, ubaya wa ku update bios ni kwamba iwapo system ya power na net ikileta ukorofi basi lazima uwasiliane na jalala kama lina nafasi ya kutupia hiyo computer yako, cha mhimu angalia jinsi gani unaweza kui disable hiyo message tu.
 
Hiyo kitu inakuwaga danger sana, mimi niliwahi kuUpdate bios ya Dell Optiplex GX260 Series Pentium 4 Version A06 to Version A09 na haikuleta shida shida yoyote, ila wakati nafanya hivyo mapigo ya moyo hayakuwa ya kawaida kwa sababu umeme ukikatika wakati unaendelea na zoezi kama hauna UPS imekula kwako. NB: Mimi sikutumia online update ila nilidownload file nikafanya installation.
 
kuupdate bios ni muhimu hasa pale computer yako ikiwa umeadd some new hardwares ambazo huhitaji new updates ambazo zitafanya hardware hizo zifanye kazi pasipo kutoa error messages. lakini hatari yake ni kwamba iwapo ukianza zoezi hilo hakikisha mtandao wako uko stable sana na umeme wa uhakika maana kimojawapo kikileta shida basi zoezi zima litakuwa limeishia hapo na athari yake ni kwamba computer yako itakuwa imekufa.
 
Mkuu mzizimkavu me nakuwahi kabisa japo ram unigaie ikija kula kwako.
ni normal update tu ila kua makin kama wakuu walivosema hapo juu.
 
Posibility ni hizo mbili inaweza ikapona au ikafa ni kama sensitive operation.if you have the guts .ukiweza kuzidisable hizo alerts Itakuwa nafuu.
 
M nakushaur ucfanye hvyo hata kdogo
mm kpnd npo chuo nlwah kuupdate dell flan pale chuo,
gafla umeme uka triple!,
weee
mpaka leo 2naikalia 2
2kiwa 2metoamo RAM na harddisk
plz dont do it
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom