Niende ofisi ya Airtel?Pole sana waendee ofisini kwao na majina yako kamili watakupa namba yako.
Mimi nmepata namba changamoto kila nikisajiri lain kwa dole gumba inagoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Hhhahhaa poleNilidharau haya mamboya Nida maana nimehangaika nikaona nopotezee...kumbe zina umuhimu...hata Kenya tu hapo utapasikia km Makonda aTakaVyoiskia USA
Ingia hii link kupata namba yakoHellow wakuu, pole na shughuli
Nimehangaika sana kupata namba ya NIDA, Leo nikiwa nampigia mtu, Airtel wananiambia kuwa nimetumiwa namba yangu ya NIDA niende nikamilishe usajili.
Kiukweli sms hiyo sijaiona, na sidhani kama imeingia.
Je wakuu nawezaje pata namba yangu maana nikiwapigia Airtel hairespond, au nawezaje pata sms niliyoifuta?
Msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna link ya NIDA ilitumwaga kwenye Uzi Fulani hivi huku JF jinsi ya kuangalia namba ya NIDA Mimi ulinisaidia kupata namba yangu. Tho huwa inasumbua kuangalia ukitaka kufanikisha ingia usiku mida ya saa nane huko coz watu wanakuwa hawautumii Sana.Hellow wakuu, pole na shughuli
Nimehangaika sana kupata namba ya NIDA, Leo nikiwa nampigia mtu, Airtel wananiambia kuwa nimetumiwa namba yangu ya NIDA niende nikamilishe usajili.
Kiukweli sms hiyo sijaiona, na sidhani kama imeingia.
Je wakuu nawezaje pata namba yangu maana nikiwapigia Airtel hairespond, au nawezaje pata sms niliyoifuta?
Msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Link Imeshawekwa mkuu