Perpendicular
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,494
- 1,185
Kweli adui yako muombe njaa.Umeukwaaa mkuu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kweli adui yako muombe njaa.
Wengine waniambia eti na allegy na joto. Sasa hapo ndio nashangaa sijui na nyota ya kukaa kwenye friji.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hapo unaposema hadi jumanne ndio balaa maana itabidi nikae ndani ya friji.Kuwa mvumiliv mkuu subir hyo jumanne mapema uwai ukafanye blood test..itakupa majib sahihi
Huwezi elewa ni kiwango gani cha presha unampa, mfariji badala ya kebehi.Umeukwaaa mkuu
Huyo mkuu najuana nae ngoja nipone kwanza maana sahiv ndio mda wake.Huwezi elewa ni kiwango gani cha presha unampa, mfariji badala ya kebehi.
KumbeeHuwezi elewa ni kiwango gani cha presha unampa, mfariji badala ya kebehi.
Wanaume wa mikoani mkija dar ndo mnavyokuwaWengine waniambia eti na allegy na joto. Sasa hapo ndio nashangaa sijui na nyota ya kukaa kwenye friji.
Hahahahaha sahivi mda wako wa kujidai we nisubiri tu nipone.Wanaume wa mikoani mkija dar ndo mnavyokuwa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] hivi umelala kweli weweHahahahaha sahivi mda wako wa kujidai we nisubiri tu nipone.
Kama kawa gentleman lazima alale.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] hivi umelala kweli wewe
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Kweli adui yako muombe njaa.