habari zenu wadau..
kuna tatizo limejitokeza ghafla kwenye CPU yangu,
nikiwasha haiwaki but taa iliyomo ndani yake ya AUX inawaka, Power supply yangu ni mpya na iko poa coz nimejaribu kuiwasha kupitia computer nyingine imewaka.
TATIZO NI NINI?
Computer yangu ni DELL OPTIPLEX GX620
Ram ni 1GB
ntashukuru kwa msaada wenu wa kiufundi