Kwanini umtukane Mama wa mwenzako?Unaujua umri wake?Ukitukaniwa mama yako utajisikiaje?Akiwa ni mwenye umri sawa na Mama yako huoni kuwa hujatenda sawa?Mjinga huyo mama YAKO, ,,sa si aliRenew simcad,,,au mpo koromije
Hakuna siku ambayo JF nimeiona chungu kama hii leo, yani nina machungu ya mama kuibiwa nikaona ni vyema niwashirikishe wana jf wenzangu kwa msaada zaidi but unfortunately naambulia kumtukanisha mama hivhiv yani. Binafsi siwezi matusi na wala majibizano na watu na sijawahi kufanya hivyo hata humu JF so inabidi mkuu nivumilie tu japo kua imeniuma mno na kunikereketa sana nafsi yangu na naishia kujilaumu tu kwanini nilianzisha hii thread!!Mjinga huyo mama YAKO, ,,sa si aliRenew simcad,,,au mpo koromije
Mpuuzie huyo binadamu aliyekosa busaraHakuna siku ambayo JF nimeiona chungu kama hii leo, yani nina machungu ya mama kuibiwa nikaona ni vyema niwashirikishe wana jf wenzangu kwa msaada zaidi but unfortunately naambulia kumtukanisha mama hivhiv yani. Binafsi siwezi matusi na wala majibizano na watu na sijawahi kufanya hivyo hata humu JF so inabidi mkuu nivumilie tu japo kua imeniuma mno na kunikereketa sana nafsi yangu na naishia kujilaumu tu kwanini nilianzisha hii thread!!
Kwanini umtukane Mama wa mwenzako?Unaujua umri wake?Ukitukaniwa mama yako utajisikiaje?Akiwa ni mwenye umri sawa na Mama yako huoni kuwa hujatenda sawa?
Kulikuwa na haja ya kutukana?Kwanini usitoe ushauri bila kashfa?Jiangalie mkuu
Sorry Mkuu, ,nilikosea kweli ilo neno mjinga, ,,ila mwambie akai-renew iyo simcard mkuuHakuna siku ambayo JF nimeiona chungu kama hii leo, yani nina machungu ya mama kuibiwa nikaona ni vyema niwashirikishe wana jf wenzangu kwa msaada zaidi but unfortunately naambulia kumtukanisha mama hivhiv yani. Binafsi siwezi matusi na wala majibizano na watu na sijawahi kufanya hivyo hata humu JF so inabidi mkuu nivumilie tu japo kua imeniuma mno na kunikereketa sana nafsi yangu na naishia kujilaumu tu kwanini nilianzisha hii thread!!
Hata usajili hauna maana yoyote.Tapeli yupo busy kufanya yake ila Geshi letu tukufu linasema uende home urelax na kurudi kesho. Hakyamamaa jeshi letu ni la mfano na hakunaga dunia nzima.
Wapigieni simu hao customer care wa Tigo waifunge hiyo line. Lakini pia ujanja wa huyo tapeli ni wa kizamani sana na ni mgeni tu ndo ataingia king.
Poa mkuu usiwaze, lakini ili urenew lain inabidi iwe offline at least siku tatu mfululizo. Lakin hiyo lain bado ipo hewani so inabidi tuiblock kwanza then iwe offline kwa muda huo ndio tuta-renewSorry Mkuu, ,nilikosea kweli ilo neno mjinga, ,,ila mwambie akai-renew iyo simcard mkuu
Pole sana.....ndo vijana wa siku hizi hawa.Hakuna siku ambayo JF nimeiona chungu kama hii leo, yani nina machungu ya mama kuibiwa nikaona ni vyema niwashirikishe wana jf wenzangu kwa msaada zaidi but unfortunately naambulia kumtukanisha mama hivhiv yani. Binafsi siwezi matusi na wala majibizano na watu na sijawahi kufanya hivyo hata humu JF so inabidi mkuu nivumilie tu japo kua imeniuma mno na kunikereketa sana nafsi yangu na naishia kujilaumu tu kwanini nilianzisha hii thread!!