mwepesi
Senior Member
- Jan 27, 2016
- 156
- 95
wazaz wenzang.. Mtoto wangu ana wiki ya 3 sasa toka azaliwe, leo ameshida analia sana haswa mama ake akimlaza haswa kwa tumbo, ambapo tulishaukiwa ili kuondoa gesi tumbon mwake, naombe mnisaidie je anaweza kua na matatizo ya kiafya ama n hali ya kawaida??