yeah shukran kubwa kwa escotdew habib pamoja na member wote wa ps3exploit kwa kutuletea kudump nor/nand kwa hizi ps3 zetu ambazo haziko jailbreaked
na hii method inafanya kazi kwa ps3 fat na slim tu yani zile za CECH 2XXX au chini
usijaribu kwenye ps3 super slim cech 4xxx