donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,523
Kweli mkuu, my last option ni kudowngradehuwa hack ya console yoyote ile inaenda na version husika, huwezi uka update then ikafanya kazi unless sony wajisahau kufix hilo tundu walilotumia ku hack.
hapo itabidi u downgrade, ila kama una mawasiliano na alie hack hio ps3 yako ni vyema ukashauriane naye kwanza.
hapa kwanza mkuu haiwezekani ku-downgrade ofw4.81 4.82 huyo jamaa alifanya ujinga ku-update from CFW TO OFWhuwa hack ya console yoyote ile inaenda na version husika, huwezi uka update then ikafanya kazi unless sony wajisahau kufix hilo tundu walilotumia ku hack.
hapo itabidi u downgrade, ila kama una mawasiliano na alie hack hio ps3 yako ni vyema ukashauriane naye kwanza.
Shukran mkuu nakuchekIlishanitokea hiyo,lazima uidowngrade,thé one AND only one fix.nitafute nikusaidie 0658327429.
Kweli mkuuKwakua umeichip ni kosa kijinai na ndio maana sony wenyewe wana blog netserver zao kwa kila ps ilikua chiped chakufanya mkuu ww format ps3 upya tafuta multiman ingiza game zako tu coz huwez irudisha kma mwanzo tena
Kweli mkuu
Hebu nifafanulie kidogo hapa mkuuIla unaweza kui boot ukaweza kuingiza game zako upya kupitia multiman
Hebu nifafanulie kidogo hapa mkuu
mkuu kweli hivyo itafanya kazi multman kwenye official firmwareKwakua umeichip ni kosa kijinai na ndio maana sony wenyewe wana blog netserver zao kwa kila ps ilikua chiped chakufanya mkuu ww format ps3 upya tafuta multiman ingiza game zako tu coz huwez irudisha kma mwanzo tena
mkuu kweli hivyo itafanya kazi multman kwenye official firmware
Nikirestore itarudi katika ofw ambayo ilikuja nayo.then nitakua na uwezo wa kuingiza cfw?Sio kazi kubwa kma uko na ps3 yako hapo chakufanya nikuichomeka kwenye umeme kisha unashikilia power button kwa muda kma wa sekunde kumi bila kuachia ukishikilia power itatoka kwenye red button kwenda kwenye green endelea kushikilia usiachie mpka utakapo sikia sound bip utaachia kisha utaona screen yko kwenye tv ikikuambia press ps button kwenye console kisha utaona option nyingi ikiwemo restore
Nitaweza kuingiza multiman bila kuichip mkuu?mkuu kweli hivyo itafanya kazi multman kwenye official firmware
Ndio utaweza ila ps3 iwe ofw4.55 then uipeleke cfw 4.81 kisha uweke multmanNitaweza kuingiza multiman bila kuichip mkuu?
No CFW no MultimanNitaweza kuingiza multiman bila kuichip mkuu?
yeah shukran kubwa kwa escotdew habib pamoja na member wote wa ps3exploit kwa kutuletea kudump nor/nand kwa hizi ps3 zetu ambazo haziko jailbreakedNina leta mrejesho, baada ya kuhangaika sana hatimaye nimefanikiwa kuirekebisha ps yangu na.pia game kama nba 2k 16 lilikua halichez mwanzon sasa hivi fresh. It took hard work kuhangaika mpaka kupata 4.82cfw, kuweka miniserver kwa pc nakuirun, .flsh hex file na some prayers maana nliogopa sana kuibrick console yangu. Am back on business