nashukuru kwa msaada wako ila hd itakuwa inacost kiasi gani?HD imekufa probably, tafuta ultimate boot cd, boot nayo kisha chagua tool ya kuscan HD for damage. Kutokana na level ya uharibifu inaweza ikawa hairekebishiki, itabidi ununue hd mpya na kupoteza data.
iyo haijafa ni windows tu inasumbua cha kufanya toa hiyo hd yako na uiconect katika mashine yengine ikisha soma unaiformart halafu rejesha katika mashine yako fanya installation nyenginenashukuru kwa msaada wako ila hd itakuwa inacost kiasi gani?
yaani mkuu nina impotant things kufanya this weekend ili nisubmit jumanne, and now nimestuck yaani nimeanza kupanic. Nipe mawazo nifanyeje.
nashukuru sana kwa msaada wako nipo katika utekelezajiHD ikishaanza kuwa na surface errors ni muhimu sana kuinadili, unaweza ukapoteza data wakati wowote. Kama windows bado inawaka basi backup data zako zote kwenye external au dvd.Download program inaitwa HD Tune fanya full scan, itakuonyesha kama kuna errors, ipo free for 30 days.Sijanunua hd siku nyingi ila nazionaga external 1TeraB kwa kama $100, hakikisha unsnunua hd type kama yako yaani in size na connection.