Bishara mchomvu
Member
- Apr 3, 2013
- 53
- 0
Jaman ndugu zangu wana Jf. Mie nilifanya mtiani wangu wa kidato cha 6 mwaka jana (2012)! xaxa nataka nikajaze form ya TCU niombe chuo. , guide-book inaonyesha kwamba mwf. achague program zizizozozidi 5 na zisipungue 3! sasa je, inakubalika kujaza vyuo 5 af prog. 1 @ chuo? au ni mbili mbili then moja kwa vyuo vitatu? Au ni prg. 3 then 2 kwa vyuo 2?? Mie apo xielewi vizuli! ila mie nimeandaa vyuo 4 ambapo chuo 1 kina prg. 2 af ivyo vingine 3 ni program mojamoja !!!! Af swali lingine ni je,, inakubalika kujaza prg. moja kwa vyuo vyote ulivyochagua? yan prg. moja irudiwe kwa kila chuo au zinatakiwa ziwe tofauti? nielewesheni jamani ili nikajaze form yangu ya TCU vizuli.
kwa huu uandishi wako ndugu yangu unatia huruma. Hivi huko mashuleni siku hizi wanafundisha nini? Kiswahili chako ni kibovu hakuna mfano, na pili unaandika kihuni huni tu. Hivi kuna umuhimu gani kuweka 'x' sehemu inayotakiwa kuwekwa 's'?Jaman ndugu zangu wana Jf. Mie nilifanya @mtiani@ wangu wa kidato cha 6 mwaka jana (2012)! @xaxa@ nataka nikajaze form ya TCU niombe chuo. , guide-book inaonyesha kwamba mwf. achague program zizizozozidi 5 na zisipungue 3! sasa je, inakubalika kujaza vyuo 5 af prog. 1 @ chuo? au ni mbili mbili then moja kwa vyuo vitatu? Au ni prg. 3 then 2 kwa vyuo 2?? Mie @apo@ @xielewi@ @vizuli!@ ila mie nimeandaa vyuo 4 ambapo chuo 1 kina prg. 2 af ivyo vingine 3 ni program mojamoja !!!! Af swali lingine ni je,, inakubalika kujaza prg. moja kwa vyuo vyote ulivyochagua? yan prg. moja irudiwe kwa kila chuo au zinatakiwa ziwe tofauti? nielewesheni jamani ili nikajaze form yangu ya TCU @vizuli.
Alaka ndio nini...!
Thibitisha kwamba wewe ni pre-university kwa kuandika vyema.
Ukishindwa kuandika kwa kiswahili tumia kiingereza. Usiharibu lugha adhimu ya kiswahili.
Jaman ndugu zangu
wana Jf. Mie nilifanya mtiani wangu wa kidato cha 6 mwaka jana (2012)!
xaxa nataka nikajaze form ya TCU niombe chuo. , guide-book inaonyesha
kwamba mwf. achague program zizizozozidi 5 na zisipungue 3! sasa je,
inakubalika kujaza vyuo 5 af prog. 1 @ chuo? au ni mbili mbili then moja
kwa vyuo vitatu? Au ni prg. 3 then 2 kwa vyuo 2?? Mie apo xielewi
vizuli! ila mie nimeandaa vyuo 4 ambapo chuo 1 kina prg. 2 af ivyo
vingine 3 ni program mojamoja !!!! Af swali lingine ni je,,
inakubalika kujaza prg. moja kwa vyuo vyote ulivyochagua? yan prg. moja
irudiwe kwa kila chuo au zinatakiwa ziwe tofauti? nielewesheni jamani
ili nikajaze form yangu ya TCU vizuli.
Acheni kumbabaisha dogo bali la muhimu msaidieni