Ndio tulifunga ndoa kanisani na cheti kipo, tuliishi miaka kama miwili na ushee, hakuna Mali yoyote tuliyovuna Mimi na yeye, lengo lamimi kutaka talaka ni kuwa alinitelekeza kwa zaidi ya miaka 6 sasa nasijuhi alipo aliniacha na mimba ya mwezi mmoja nahajageuka nyuma tena, ila nasikia yupo na ameshaoa tena harusi kabisa ila sijuhi anapoishi wala maisha yake siyajui wala yeye hajui yangu, nataka talaka ili niwe huru Mimi bado mdogo ninawezapata tatizo likaja kwenye dosari ya ndoa.