Wakuu nimeikuta mail kwenye email yangu mda si mrefu. Nimeisoma sijaelewa kama ni real au matapeli wapo kazini.
Ni kweli nimekuwa nikipitiapitia sites za Grants and sponsors lakini sijawah pita popote kwenye grants za wizara na sijawahi sikia kitu kama hiki.
Mail yenyewe ni hii