MSAADA wa haraka jamani.

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,402
Reaction score
1,618
Mimi nina samsung ch@t 322 ni mpya kabisa na ina 2gb memory card LAKN kila nikidownload inaniambia memory full wakat hamna kitu kwny simu, nifanyaje wana-jf?
 
angalia default download storage kama ipo kwenye phone au kwenye memory kadi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ