Msaada wa haraka jamani

Manreal

Member
Joined
Oct 1, 2020
Posts
9
Reaction score
0
Deadline ya kuconfirm NACTE chuo utakachoenda kwa hii round ya kwanza ni lini? Na je, naconfirm kwa kutumia website yao au
vip?
 
Mi mwenyewe nina bwana mdogo wangu anasumbua ngoja nisikilizie
 
Sijajua deadline ni lini lakini ile siku ya tarehe 15 majibu yalivyotoka tu, asubuhi yake nilikutana na Text kwenye simu..nacte wamenitumia code za kuconfirm...hivo nilicofirm hapo hapo...unapopata code zile kutoka nacte unaconfirm tu..na kuna wengine wamechelewa kupata wamepata jana..wanatuma kidogo kidogo
 
Mm nimeipata jana kupitia email yangu, lakin sijui jinsi ya ku confirm nielekeze kiongz
 
Mimi nimeingia jadi hapa sasa sijui wapi pa kuendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…