jaribu kujua kama inaweza kuflashika , nyingi zikifikia hatua hiyo huwa ndio basi tena mpaka kubadili chip, ili kujua kama inaweza kuflashika izime ikishazimika binya kwa pamoja button za sauti yaani volume + na volume - kwapamoja bila ya kuachilia alafu bonyeza power button bila ya kuachulia zile za volume ikija scrren ya rangi ya pink itaweza kuflashika, ikija screen rangi nyeusi na ,Maandishi yanayosomeka MMC SYSTEM itakuwa ni majanga mpaka kubadili chip (CHIP NI AINA YA IC INAWEKWA NDANI YA SIMU NA MAFUNDI WANAOJUA TU)