Chichi Theboy
JF-Expert Member
- Feb 20, 2015
- 429
- 499
[emoji2][emoji2]kuflash tena duuh[emoji22]Nenda kaiflash tu hamna namna
Hapana mkuu alikua anajaribu kama inafanya kazi ndo akakutana na maswahibu hayo msaada wako tafadhalimwambie aitupe anunue nyingine.Kama hakutaka simu yoyote njia nzuri ilikuwa kuzima. Wacha aonjejoto la jiwe
Hapana mkuu alikua anajaribu kama inafanya kazi ndo akakutana na maswahibu hayo msaada wako tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimereset factory imegoma inaonekana ishu sio simu ila kwenye lainiNdo hivyo ili itoke kabsa ianze upya tu
.Habari wanajamvi,msaada wa haraka unahitajika kuna rafiki yangu aliweka call barring for all incoming calls kwenye simu yake mpaka sasa hapokei simu wala sms. Tumejaribu kutoa kwa kutumia namba *35*1111# lakini inagoma pia tumeenda kwenye call settings ili kucancel lakini inadai password na kila password tunayoweka inagoma(0000)(1234) wajuvi wa hizi kazi mnisaidie.
natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mrejesho:.
toeni hiyo barring kwa kubonyeza hii: #35*0000#.
Mtfate chief Mkwawa naamini anaweza toa suluhishoHapana mkuu alikua anajaribu kama inafanya kazi ndo akakutana na maswahibu hayo msaada wako tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribuni kuzima kwanza sim, washeni halafu ingiza code niliyokupa.
Sawa mkuuMtfate chief Mkwawa naamini anaweza toa suluhisho
Mkuu Dragoon inagoma badoJaribuni kuzima kwanza sim, washeni halafu ingiza code niliyokupa.
Daaah laini hii ndo ya kazi kwa hiyo kununua nyingine ni riskHahahaha chichi boy nunua mpya tu
Ngoja nijaribu kuhamisha ntaleta mrejeshoHamisha laini kwenye simu nyingine.