Msaada wa haraka, basi la mwisho la kwenda Dodoma tokea Dar

Kajolijo

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,364
4,612
Naomba kufahamishwa basi la mwisho la kwenda Dodoma tokea Dar ni saa ngapi, nimepata dharura nataka kwenda sahizi...
 
Naomba kufahamishwa basi la mwsho la kwenda dom tokea dar n saa ngapi, nmepata dharura nataka kwenda sahizi...
Mabasi yenyewe yatakuchelewash maana abiria ni wachache huchelewa kujaa ila km walivyosema wadau panda gari la morogoro hapo utapanda Noah
 
Wakuu tupunguze utani kwenye Mambo ya msingi jamaa anaomba msaada mtu analeta mbwembwe ,Sasa mfano Hilo basi la Bashite Trans , daah huyu ndugu atazimia maana jina limekuwa wimbo uwiiiiiii hatari
 
Gari ya mwisho ni saa kumi jioni....mda huu umewahi sana wala usipande ya kuishia moro nenda ubungo moja kwa moja utapata magari yapo....mm nina uhakika wa 100% sababu ndio muda wangu napendelea kutoka huo.....ukiwa na wasi nikutafutie wakatisha tiketi uwapigie
 
Mpe mawasiliano moja kwa moja halafu yeye atajiongeza hukohuko
 
Wakuu tupunguze utani kwenye Mambo ya msingi jamaa anaomba msaada mtu analeta mbwembwe ,Sasa mfano Hilo basi la Bashite Trans , daah huyu ndugu atazimia maana jina limekuwa wimbo uwiiiiiii hatari
Kata bakora charaza kwenye makalio yake......
 
Naomba kufahamishwa basi la mwisho la kwenda Dodoma tokea Dar ni saa ngapi, nimepata dharura nataka kwenda sahizi...
Nenda pale mitaa ya Ghorofa la Tanesco, kuna private car za kwenda kokote including Dom. ziko mpaka usiku wa manane.
 
Back
Top Bottom