Msaada wa haraka application ya scan kwenye smartphone

Msaada wa haraka application ya scan kwenye smartphone

kesho kutwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
1,722
Reaction score
1,993
Poleni wakuu naomba mwenye kujua app nzuri ya kuskan mfano unapiga picha cheti na inaskan yale maandishi kwenye Sim na unaweza tuma kwa njia ya email asanteni
 
Tumia camscanner.Ndio app bora ya kuscan kwa njia ya phone
Shukrani mkuu kwa hiyo nikisha iinstal naweza kupiga picha vyeti mfano na kuvituma kwa njia ya email pasipo enda stationary?
 
App ya DENT inakupa vifurushi vya bei nafuu na pia inakupa salio la zaidi ya shilingi 5000tzs mara tu utakapo jiunga.

Na kizuri zaidi utaweza kutoa papo hapo kwenye mtandao wowote utakaopenda kama vocha tu na si Mobile Money.

Link

https://jamiiforums.com/Tovzs7sxQX

Tanbihi:Link hiyo niliyoitoa ni refferal link ukijisajili kupitia link hiyo wewe na mimi tutapokea 690 dent bila ya wewe kupungukiwa na chochote.
Jumla utakuwa na dent 1280 ambazo 690 ni bonus ya kualikwa na 590 kama welcome bonus ambazo zina thamani ya shilingi 5000tzs.
 
Back
Top Bottom