Internal JF-Expert Member Joined Feb 23, 2017 Posts 3,579 Reaction score 3,924 May 17, 2019 #1 Habari wakuu. Naomba kujuzwa gharama za x-ray.
x-factor Senior Member Joined Aug 20, 2012 Posts 181 Reaction score 212 May 17, 2019 #2 Swali lako lipo general sana.. bei zinategemeana na aina ya hospital na aina ya X ray Internal said: Habari wakuu. Naomba kujuzwa gharama za x-ray. Click to expand...
Swali lako lipo general sana.. bei zinategemeana na aina ya hospital na aina ya X ray Internal said: Habari wakuu. Naomba kujuzwa gharama za x-ray. Click to expand...
Issuna JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 3,204 Reaction score 7,649 May 17, 2019 #3 Internal said: Habari wakuu. Naomba kujuzwa gharama za x-ray. Click to expand... ni sawa na kuuliza...habari wakuu naomba kujuzwa bei ya Gari = what do you expect?
Internal said: Habari wakuu. Naomba kujuzwa gharama za x-ray. Click to expand... ni sawa na kuuliza...habari wakuu naomba kujuzwa bei ya Gari = what do you expect?
M MZEE RAZA JF-Expert Member Joined Feb 19, 2015 Posts 3,489 Reaction score 2,488 May 17, 2019 #4 Internal said: Habari wakuu. Naomba kujuzwa gharama za x-ray. Click to expand... Vituo vya kutolea tiba vya serikali haizidi 15,000 na private nadhani nako haizidi 30,000
Internal said: Habari wakuu. Naomba kujuzwa gharama za x-ray. Click to expand... Vituo vya kutolea tiba vya serikali haizidi 15,000 na private nadhani nako haizidi 30,000
Internal JF-Expert Member Joined Feb 23, 2017 Posts 3,579 Reaction score 3,924 May 17, 2019 Thread starter #5 x-factor said: Swali lako lipo general sana.. bei zinategemeana na aina ya hospital na aina ya X ray Click to expand... Sio mjuzi ndo mana, ila nimeuliza maana anayehotaji anataka apigwe x-ray kwenye koo. Nimeamua kufanya japo makadrio ya gharama kabla sijampeleka hospitali, tawi la kcmc huko bombo.
x-factor said: Swali lako lipo general sana.. bei zinategemeana na aina ya hospital na aina ya X ray Click to expand... Sio mjuzi ndo mana, ila nimeuliza maana anayehotaji anataka apigwe x-ray kwenye koo. Nimeamua kufanya japo makadrio ya gharama kabla sijampeleka hospitali, tawi la kcmc huko bombo.
Internal JF-Expert Member Joined Feb 23, 2017 Posts 3,579 Reaction score 3,924 May 17, 2019 Thread starter #6 MZEE RAZA said: Vituo vya kutolea tiba vya serikali haizidi 15,000 na private nadhani nako haizidi 30,000 Click to expand... Sawa mkuu shukrani
MZEE RAZA said: Vituo vya kutolea tiba vya serikali haizidi 15,000 na private nadhani nako haizidi 30,000 Click to expand... Sawa mkuu shukrani