Ukiwa ndani ya halmashaur haulipwi pesa ya kujikimuKama ni ndani ya halmashauri hiyohiyo utalipwa 10% ya mishahara yako ya mwaka mmoja.
Kama ni nje ya halmashauri utalipwa pesa ya kujikimu(per diem X siku 14) na pesa ya mizigo (3000 kwa kila 1km). Kama una mke naye ataambulia pesa ya kujikimu.Kama una watoto nao watalipwa nusu ya pesa unayopewawewe ya kujikimu.
Niko tayari kukosolewa kama nimekosea mahali.
HulipwiUkiwa ndani ya halmashaur haulipwi pesa ya kujikimu