Jana na lei
Member
- Aug 19, 2018
- 8
- 1
Ndugu wana jf naombeni mnisaidie , form yanguimeandikwa incomplete afu kwenye majina ya waliokosea kuomba mkopo simo, nilisahau kutuma form no 2na 5,
Ndugu wana jf naombeni mnisaidie , form yanguimeandikwa incomplete afu kwenye majina ya waliokosea kuomba mkopo simo, nilisahau kutuma form no 2na 5,
Tuma hizo nyaraka harakaNdugu wana jf naombeni mnisaidie , form yanguimeandikwa incomplete afu kwenye majina ya waliokosea kuomba mkopo simo, nilisahau kutuma form no 2na 5,
nenda kwenye akaunti yako nenda namba 2• kisha download na print hiyo fomu. kisha chukua ukurasa wa pili na tano kapitishe kisha rud uapload.Dah yani account yangu imeandikwa closed kaka
Option ya kuaplod hawajaiwekanenda kwenye akaunti yako nenda namba 2• kisha download na print hiyo fomu. kisha chukua ukurasa wa pili na tano kapitishe kisha rud uapload.
inakuwaje ukose hiyo option? jina lako liko kwa wenye mapungufu?Option ya kuaplod hawajaiweka
Halimo mkuuinakuwaje ukose hiyo option? jina lako liko kwa wenye mapungufu?
Jina langu halimo mkuuinakuwaje ukose hiyo option? jina lako liko kwa wenye mapungufu?
ColourHalimo mkuu
Hamna sehem ya kutumiaTuma hizo nyaraka haraka
Bro natumia phone ndogo sana , samahani nitxt kwnye hii nonikupgie. Unisaidie 0676203340Ebu tuma screenshot tujue tunakusaidiaje