Msaada wa firmware update ya huawei e303h-1 modem (mpya).

Msaada wa firmware update ya huawei e303h-1 modem (mpya).

chilato

Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
25
Reaction score
36
Kama kun mtu yoyote mwenye firmware update kwa ajili ya huawei e303h-1 naomba msaada plz.
 
hapo hakuna firmware za e303h-1 mkuu zipo kwa ajil ya e303s-1, e303d na e303 highlink
 
hapo hakuna firmware za e303h-1, mkuu hapo zipo kwa ajil ya e303s-1, e303d na e303 highlink tu.
 
Wakuu nimebrick modem yangu e303h-1 (ipo half dead) baada ya kuweka firmware isiyo yake, sasa haidetect com port ila nikitumia Hisilicon firmware writer com port zinaoneka fresh tatizo nashindwa kuwrite kwa kukosa credit.
Kama kuna namna ya kubypass au software mbadala naomba msaada wenu.
CC: Mwl.RCT Njunwa Wamavoko Chief-Mkwawa gkiwango CalvinPower
 
Back
Top Bottom