Msaada wa fastjet malipo kwa US$

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,357
6,422
Jamani hivi malipo kwa dollar na fastjet ndio unafanyaje? Naomba msaada. Inabidi uende bureau de change upate dola au you convert the equivalent in Tsh.
Please assist
 
kwan lazima ulipe kwa dollar?! lipa kwa tsh
 
Back
Top Bottom