mzalendo-wa-tz JF-Expert Member Joined Dec 15, 2014 Posts 404 Reaction score 187 Jul 6, 2016 #1 Wakuu, nina page yangu fb, ninataka niipromote iwe na Like nyingi kwa kutumia fb sponsored Ad. Nina pata shida jinsi ya kulipia. Nina akaunti crdb je hiyo inaweza tumika kulipia? Asante kwa msaada
Wakuu, nina page yangu fb, ninataka niipromote iwe na Like nyingi kwa kutumia fb sponsored Ad. Nina pata shida jinsi ya kulipia. Nina akaunti crdb je hiyo inaweza tumika kulipia? Asante kwa msaada