Msaada wa Elimu kuhusu Holographic

Srebrina

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
968
Reaction score
439
Habari za muda wanajanvi nilikuwa nataka nifanyie project moja ya Ku produce hologram images ( three dimension ) ila sijui pa kuanzia nikajaribu ku google lakini sijapatà good explanations ivo nimeona ni bora niulize umu ndani ili na wengine wafaidike kwa majibu mazuri na yenye mafunzo yatakayo patikana, so naitaji mchango wenu wa hali na mali
 
Wakuu mbona kimya kuhusiana na hii kitu?
 
njia rahisi ambayo naifahamu mimi ni kwa kutumia Ar (Augument reality), ila mtazamaji itabidi awe amevaa miwani ya Ar.

unaweza ukaangalia demo za Hololens kama hii

 
Wewe subili kwanza tumLize kuhoji na kujua kama 1.5t kama itapatikanii.e tuko bize mno
 
Ahaaa kwaiyo hakuna njia ya kutumia Ku produce ili hata naked eyes Ione?
njia rahisi ambayo naifahamu mimi ni kwa kutumia Ar (Augument reality), ila mtazamaji itabidi awe amevaa miwani ya Ar.

unaweza ukaangalia demo za Hololens kama hii

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…