MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,756
- 6,684
Habarini wakuu! natumai muu wazima wa afya kabisa! ebana naombeni kwa yeyote humu anasaidie! nime-format laptop yangu na kuingiza windows tajwa hapo juu! baadae nkaa-update missing drivers nkapata baadhi na nyingine mbili ambazo ni Network controller na SM BUS Controller ndo zikakataa kabisa! naombeni msaada wakuu nifanyeje hapa? Natanguliza shukrani!!!!
Kaka ungenipa link ingekuwa mzuka zaidi! but let me try!!!Google DELL SUPPORT then fuata maelekezo ya kitu unachokihitaji.
Nashukuru sana mkuu ila kwa night hii cna DVD labda kwa kesho! nikifanikiwa ntakujulisha kaka!! asante sana!ingia hapa http://kat.ph/driver-pack-solution-2011-final-t5369668.html
kabla ya huja download install utorent kwanza hii hapa
http://www.clubic.com/telecharger-fiche18245-microtorrent.html
ikisha maliza kudawnload weka dvd empty ufanye burnung ukisha burn weka katika compyuta yako fungua cd utaona setup click na utapata driver zote ambazo hazimo katika compyuta yako or contact thabitlule@hotmail.com
Cheki kwenye inbox yako nimekutumia e-mail!!ingia hapa http://kat.ph/driver-pack-solution-2011-final-t5369668.html
kabla ya huja download install utorent kwanza hii hapa
http://www.clubic.com/telecharger-fiche18245-microtorrent.html
ikisha maliza kudawnload weka dvd empty ufanye burnung ukisha burn weka katika compyuta yako fungua cd utaona setup click na utapata driver zote ambazo hazimo katika compyuta yako or contact thabitlule@hotmail.com
Cheki kwenye inbox yako nimekutumia e-mailingia hapa http://kat.ph/driver-pack-solution-2011-final-t5369668.html
kabla ya huja download install utorent kwanza hii hapa
http://www.clubic.com/telecharger-fiche18245-microtorrent.html
ikisha maliza kudawnload weka dvd empty ufanye burnung ukisha burn weka katika compyuta yako fungua cd utaona setup click na utapata driver zote ambazo hazimo katika compyuta yako or contact thabitlule@hotmail.com
kama upo online njoo kwenye facebook nikufahamishe mkuuCheki kwenye inbox yako nimekutumia e-mail
kama hio inakusumbua chukua hii hapaNashukuru sana mkuu ila kwa night hii cna DVD labda kwa kesho! nikifanikiwa ntakujulisha kaka!! asante sana!
tafuta driver genius pro au Drivers Robot utamaliza tatizo lako kiroho safi!!!Muhimu uwe na net ya kudownload drivers husikaHabarini wakuu! natumai muu wazima wa afya kabisa! ebana naombeni kwa yeyote humu anasaidie! nime-format laptop yangu na kuingiza windows tajwa hapo juu! baadae nkaa-update missing drivers nkapata baadhi na nyingine mbili ambazo ni Network controller na SM BUS Controller ndo zikakataa kabisa! naombeni msaada wakuu nifanyeje hapa? Natanguliza shukrani!!!!