Msaada wa driver audio controller

mbupupu

Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
90
Reaction score
11
mi na computer aina ya dell nimepiga window 3 in 1 sasa kinachonisumbua ni driver ya sauti nimejaribu kutumia cd ya driverpack imegoma kuingia nimetumia universar driver inaingia kabla ya kumaliza computer inajizima sasa sijajua tatizo ni nini
 
Ndugu mbupupu hujaelezea vizuri version yako ya Windows. halafu unatumia Computer brand gani
 
Last edited by a moderator:
Ndugu mbupupu hujaelezea vizuri version yako ya Windows. halafu unatumia Computer brand gani

nimeweka window ambayo imecombine window 3 yani kuna vista,xp,na w7 pia computer yangu ni destop dell
 
Last edited by a moderator:
Sina ufahamu kuhusu hiyo windows. Lakini wewe Search google drivers za dell yako. zingatia unaandika Model ya Dell yako kama ni optiplex weka na namba ya Optiplex yako. Google itakupa results za page ya Drivers kwa ajili ya PC yako. Chagua na uinstall. Kama hautafanikiwa tutaelekezana.
Lakini ungetafuta Windows version ya uhakika kama ni 7 vista ama Xp. Maana maybe hiyo combination ndiyo inayoleta shida
 
poapoa ngoja nijaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…