Jambo Tz
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 670
- 203
Wadau kwanza natanguliza shukrani kwa kuwa Naona jinsi michango ya hali na mali kama inavyoo onyesha
Naomba msaada kama kichwa cha Habari kinavyoo onyesha, ndugu wana jamvi kijana wangu anapokojoa hasimamishi uume kama ilivyo kwa watoto
Kijana wangu ana umri wa miaka sita
Nawashukuru wadau
Naomba msaada kama kichwa cha Habari kinavyoo onyesha, ndugu wana jamvi kijana wangu anapokojoa hasimamishi uume kama ilivyo kwa watoto
Kijana wangu ana umri wa miaka sita
Nawashukuru wadau