Msaada Wa dharula: Nahitaji chumba na sebule

Msaada Wa dharula: Nahitaji chumba na sebule

Joined
Jan 24, 2019
Posts
14
Reaction score
19
Aasalama ndugu zangu wana Jf.
Mm ni muhanga wa mafuliko sehemu nilipo kua naishi awali ambapo niliingizwa mkenge na madalali. Hivyo nimeamua kulifikisha hili mbele yenu kupata msaada wa zarura..

Naitaji chumba na sebure...
1.Mji>Dar es Salaam(Priority ni Ubungo au Kinondoni ).
2.Eneo liwe limechangamka kiasi)
3.Pawe panafikika kwa urahisi
4.Luku yakujitegemea..pamoja na maji dawasco.
Pasiwe na tatizo lolote la mafuriko au mazingira yasiyo rafiki
(chumba kiwe self contained) bei isizidi Tsh100,000.

Tumia namba 0657812144 (wasap tu) kwa ajili ya mawasiliano.
 
Aisee,.na mvua hapo imenyesha kwa masaa tuu,.poleni sana wa mabonde kuinama

Halafu ni dharura sio zarura,.
 
Back
Top Bottom