Msaada wa dawa

Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
698
475
Jamani ndungu yangu anasumbuliwa na fangasi miaka mitano sasa bila kupona, zimekuwachronic anajisikia maumivu makali , anawashwa muda wote, korodani zimejikunja na zimekuwa ngumu sana, dama alizotumia gentroderm, whitefield,sonardem,tarbenafine,betamethasone, ketoconazole, clotrimazole .ni fangus wa korodani ,jamani anayejua dawa ya kumsadia amsadie ,blood screen alishapimwa na akapewa dawa bila kupona, hana magonjwa mengine zaidi ya hilo
 
look for altenative...tiba za asili..ila kumbuka tiba za asili sio chumvi au sukari kwamba ukikoroga inakolea hapohapo huwa zinatibu taratibu inabidi uwe na subira.
 
Jamani ndungu yangu anasumbuliwa na fangasi miaka mitano sasa bila kupona, zimekuwachronic anajisikia maumivu makali , anawashwa muda wote, korodani zimejikunja na zimekuwa ngumu sana, dama alizotumia gentroderm, whitefield,sonardem,tarbenafine,betamethasone, ketoconazole, clotrimazole .ni fangus wa korodani ,jamani anayejua dawa ya kumsadia amsadie ,blood screen alishapimwa na akapewa dawa bila kupona, hana magonjwa mengine zaidi ya hilo

Nadhani atakuwa na Tinea cruris ambao ni ugonjwa wa ngozi unaosababishwa na fangasi na huwa unapendelea sehemu za nje za maeneo nyeti(groin regions, kama ulivo taja hapo juu) Naomba umshauri afanye yafuatayo; Aweke eneo husika kavu(dry),avae bukta za cotton zilizo nyoshwa na awe anabadilisha kila baada ya kuoga pia atumie dawa zifuatazo;(1) clotrimazole cream apply mara 2 kwa cku for 2months (2)Tablets Griseofulvin 500mg mara 2 kwa cku for 2months (3) Tablets Cetrizine 10mg mara moja kwa cku for 2months. Akizingatia hayo hakika atapona.
 
Back
Top Bottom