Msaada wa dawa ya ugonjwa wa Arthritis

Sawa Asante nitaulizia pharmacy kubwa nione Kama nitapata. Huwa ana presha na sukari pia nitaulizia Kama hazina shida kwake.
 
Sawa Asante nitaulizia pharmacy kubwa nione Kama nitapata. Huwa ana presha na sukari pia nitaulizia Kama hazina shida kwake.
Usimnunulie tu dawa kisa tumekushauri humu ni hatari sana ndugu.. HAKIKISHA UNAPATA NASAHA NA RUKSA YA DAKTARI KWANZA.
*Tafuta haematologist akupe ushauri au specialist wa mifupa
 
Dah duniani kumbe kuna magonjwa mengi sana ya hatari.
Kwa hiyo mkuu inamaanisha aliyepata ugonjwa huu anakuwa ni mtu wa kutumia dawa katika kipindi cha maisha yake yote?
habari ndugu ,jamani Hilo gojwa no kubwa mno.mimi ninalo naandika hapa huku nalia.maumivu yake ni ya viwango vya juu.tena hayaelezeki.nikinywa diclofenac asubuhi na jioni na predisolone ndo napata nafuu.mi sio mzoefu hapa Ila imenigusa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…