Msaada wa dawa ya kuua popo.

Kama wako darini, panga mchakato huu ufanyike mchana kweupe kama saa sita au tisa mchana:

Fumua bati moja kisha panda darini na fimbo, piga sana popo wote hadi uhakikishe wote wametoka. Rudia zoezi hilo kwa siku tatu majira yale yale....

Popo hawatarudi tena hapo, watapoteana na kulazimika kuanzisha chama upya katika viwanja vingine....Kila lakheri!.
 
hilo ni tatizo dogo sana, ongea na wazzee wakusaidie ………………………!
 
ni kwel mkuu, ht mim niliona hukohuko chuo, cha moshi huko
 
Hayo mazoezi labda awamwagi maji moto kwenye sprayer kama la kupiga dawa shambani lile
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…