Msaada wa dawa ya kikohozi kikavu

Msaada wa dawa ya kikohozi kikavu

Zogoo da khama, Kikohozi kingine kinatokana na alergy ambayo bado hujajua inasababishwa na nini.
Tiba rahisi ni hii, nenda duka la madawa nunua dawa inaitwa DAZIT, meza kwa siku tano tu ulete mrejesho usipopona mi najitoa jf. Usisahau kunishukuru ukipona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa ni Corona hiyo. Ngoja tuwashtue wakuu wakufikishe mahala husika. Jokes!!😁
 
Napenda kutoa shukrani zangu kwa mawazo yenu mliyonipa kutokana na tatizo langu la kikohozi kilicho sababishwa na allergy ya air flesh niliyonunua na kuweka kwenye gari ndio chanzo cha tatizo langu nimetupa siitaki tena.
IMG-20200212-WA0000.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom